Search This Blog

Friday, March 29, 2013


Toka VIDEO YA "DOLE" Itoke, Kuna Akina Dada Wengi Wana-omba Nafasi Zakushiriki Kwenye MUSIC VIDEOS Zinazofuata From NISHER ENTERTAINMENT! So Chakufanya, Kama Unajiamini, Unaujasiri na Mwonekano Mzuri Na Upotayari Kuelekezwa... Tuma Picha zako Kwenye Inbox ya www.facebook.com/nisher Then Kina-dada Wa-5 Watakao Kua Wakali Watapata Nafasi Kushiriki kwenye Video Zinazo Fuata Kutoka NISHER ENTERTAINMENT, Utapewa Maelekezo Husika......Ahsanteni Kwa Kupenda Kazi Za N.E.

No comments:

Post a Comment