Hii ni exclusive interview imefanywa toka Fresh120 Media , Nisher ameamua kufunguka na kuamua kuzungumzia juu ya utengenezaji wake wa video kuanzia mfumo mzima wa utengenezaji , matayarisho na pia Idea kubwa ya yeye kufika hapo alipo sasa,
Pia Nisher amewezakuzungumzia juu ya comments ambazo zimekuwa changamoto kwake , amechambua kwanini ana mfumo wake wa kipekee katika utengenezaji wa Video . Pata kusikia Mahojiano Toka kwa Nisher na Mdau wa Fresh120Media http://www.facebook.com/l.php?u=https%3A%2F%2Fsoundcloud.com%2Ffresh_120%2Fnisher-akielezea-ufanisi-wa&h=aAQFSsImN
No comments:
Post a Comment